Yoweri Museveni: A five times-elected dictator?

Al Jazeera Sat, Apr 29 5:29 AM PDT 

PICHA: Rais Magufuli Awasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya siku Tatu ....Pia Atakuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya May Mosi

Rais John Pombe Magufuli leo Aprili 29, 2017 amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tat...
Read More

Kampuni ya Bia (TBL) yawafuta kazi wafanyakazi 100 ndani ya saa 24

Kampuni  ya Bia ya Tanzania Breweries (TBL), imepunguza watumishi wake takribani 100 ndani ya saa 24. Kwa mujibu wa taatifa toka kwa  watumishi wa TBL,  watumishi waliopunguzwa ni wale wa kitengo cha masoko. Mtoa taarifa mmoja kutoka kwenye duru za uongozi wa TBL ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema kuwa uamuzi huo ulitekelezwa Jumatatu ya wiki hii. Alisema sababu...
Read More

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMAPILI MAKANISA MAWILI TOFAUTI MJINI MOSHI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitakiana amani na mmoja wa mapadre katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi Mjini alikohudhuria ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Ekaristi Takatifu toka kwa Askofu Isaac Aman katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini alikohudhuria ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiungana na waumini  katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi mjini katika ibada ya Jumapili leo Aprili 30, 2017

KUJITOLEA KUFUNDISHA KISWAHILI

OTSONYA MSAFIRI,                                     
CHUO KIKUU DAR ES SALAAM,
                                             S.L.P 35091,
                                                          DAR ES SALAAM.
                                           28/04/2015.
LUKE JOE,
VIJIMAMBO.
Ndugu,
            YAH: KUJITOLEA KUFUNDISHA KISWAHILI ZA NJE.
Husika na mada tajwa hapo juu, Naitwa Otonya Msafiri, Mtanzania mwenye umri wa miaka 23. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo kikuu Dar es salaam ninayetarajia kuhitimu masomo yangu mwezi wa sita mwaka huu. Ninasomea shahada ya sanaa na elimu katika somo la Kiswahili pamoja na Fasihi kwa kingereza (Literature). Nina maendeleo mazuri kiitaaluma kwani kwa mwaka wa kwanza nimefanikiwa kupata G.P.A ya 4.1 na mwaka wa pili nimefanikiwa kupata G.P.A ya 4.4. hata hivyo, natarajia matokeo mazuri kwa mwaka huu wa mwisho.
Aidha, kwa nia ya dhati kabisa napenda kuomba nafasi ya kufundisha Kiswahili kwa wapenzi wa lugha hii nchini Scotland kwa sababu za msingi nne; kwanza ni ndoto yangu ya kueneza tamaduni zetu ulimwenguni kote na hii ni pamoja na kueneza lugha yetu pendwa ya Kiswahili. Pili, napenda kujifunza tamaduni zingine ili kuweza kubaini mabadiliko yanayoweza kuleta athari chanya kwa jamii zetu, tatu, napenda kutumia maarifa yangu kwa maslahi mapana ya jamii inayonizunguka na mwisho ni kutafuta fursa zozote za kitaaluma ndani na nje ya Tanzania ili kuweza kujimudu kimaisha mimi pamoja na wote wanaonitegemea.
Hivyo basi, kwa heshima na taadhima, naomba uchukue ombi langu kwa jicho pevu, ili kunifanikisha fursa yoyote inayoendana na taaluma yangu kwa maslahi mapana ya nchi yangu pamoja na ulimwengu kwa ujumla. Napenda kuambatanisha vivuli vya vyeti vyangu pamoja na wasifu wangu kwa ufafanuzi zaidi. Natarajia jibu zuri mara baada ya kupitia nakala zangu na kujiridhisha.
Wako katika ujenzi wa taifa letu la Tanzania,
Otonya Msafiri  
WASIFU BINAFSI
MAELEZO BINAFSI
JINA: Otonya Msafiri      
BARUA PEPE: Otonyam@gmail.com
ANWANI YA KUDUMU: S.L.P 59, Shirati Rorya
JINSIA: Me.
NAMBARI ZA SIMU: 255759045608
ELIMU
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika Chuo kikuu Dar es salaam katika fani ya sanaa na elimu (BAED) kwa masomo ya Kiswahili na Fasihi kwa kingereza (Literature). Natarajia kuhitimu mwezi wa sita mwaka huu (2017). Matokeo yangu kwa mwaka wa kwanza ni G.P.A ya 4.1 na mwaka wa pili ni G.P.A ya 4.4

Beba Virago - Boke Entertainer (Official HD Video) ATL ENT

Tetemeko la ardhi lazua hofu kwa wananchi wa Bukoba

By Bashaya Phinias, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz

Bukoba. Tetemeko la ardhi limetokea tena mkoani Kagera na kusababisha hofu kwa wananchi.

Hofu hiyo inatokana na tetemeko la ukubwa wa 5.7 kwa vipimo vya Richter lililotokea mkoani hapa Septemba mwaka jana na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 10 majeruhi takriban 200 na mamia wengine kukosa makazi.

Wananchi waliozungumza na gazeti hili, katika Manispaa ya Bukoba, wilaya za Missenyi, Muleba na Karagwe wamesema tetemeko hilo lilitokea saa saba usiku wa kuamkia leo.

Baadhi ya wananchi mjini Bukoba walilazimika kulala nje ya makazi yao kutokana na kishindo cha tetemeko hilo.

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde

Halmashauri zatisha kwa vyeti feki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki
WAKATI Serikali imetangaza orodha ya majina ya watumishi wa umma wenye vyeti feki, Halmashauri za Miji, Wilaya, Manispaa na Majiji zimeongoza kwa kuwa na wafanyakazi wenye vyeti bandia huku taasisi za umma zikifuatia.

Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya Rais John Magufuli juzi kupokea vitabu vyenye orodha ya watumishi wa umma ambao wamebainika kuwa ama na vyeti pungufu, vyeti tata na vyeti vya kughushi kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki.

Hatua ya kufanyika kwa uhakiki huo ambayo ilitokana na agizo la Rais Magufuli inafanya sasa kuwepo kwa nafasi wazi za ajira 12,000 kwa watu wenye sifa ambao wangeweza kuajiriwa katika nafasi hizo lakini nafasi zao zikakosekana kutokana na kuajiriwa kwa watu wasio na sifa.

Empty Out the Negative - Joel Osteen


Tanzania's President Magufuli sacks 10,000 over fake certificates

Tanzania's President Magufuli sacks 10,000 over fake certificates

BBC News 9 hours ago 

Rais Maguli Afuta Zaidi ya Ajira Elfu 9 Za Walioghushi Vyeti

Rais  Dk. John Pombe Magufuli, ameiagiza Wizara ya Fedha kufuta mara moja ajira za  watumishi wa umma 9,932 waliobainika kughushi vyeti, kwenye orodha ya malipo ya watumishi wa umma.Akiongea leo mara baada ya kupokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma mjini Dodoma, Rais Magufuli pia amewataka watumishi hao kuondoka wenyewe na iwapo watakaidi wakamatwe na vyombo vya dola...
Read More

WAKAZI WA OLASITI JIJINI ARUSHA WASUSIA MAJI WASEMA HAYANA LADHA ,HAYAFAI KWA MATUMIZI YEYOTE

Baadhi ya wananchi wa Kata ya Olasiti kama wanavyoonekana  pichani.Picha na Vero Ignatus blog.

Na .Vero Ignatus,Arusha.
WAKAZI wa Olasiti jijini Arusha wamesusia maji yanayotolewa na Idara ya maji na kudai kuwa maji hayo hayafai kwa matumizi ya aina yoyote.

Wakizungumza  katika mkutano wa hadhara uliofanywa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wananchi hao walisema maji yaliyosambazwa na Idara ya maji yana  chumvi kiasi cha kuharibu  hata mimea wanapojaribu kumwagilia.

Mmoja wa wakazi hao Meck  Mollel alisema wanahofia baada ya miaka ijayo kutokuwa na nguvu za kiume kutokana na kuendelea kutumia maji hayo ambayo yanaladha ya magadi.

"Kweli haya maji yanatupa hofu baadaye tutajikuta wanawake wote kwa mpango huu hatuyahitaji haya maji tuleteeni maji yaliyorafiki kwa binadamu" alisema Mollel.

Kichupa cha leo Bahati x Rayvanny - Nikumbushe ( Official Music Video )

‘Padri’ wa Kanisa Katoliki afunga ndoa Dar es Salaam

Miaka tisa baada ya kuvuliwa upadri wa Kanisa Katoliki, Privatus Kargendo jana alifunga ndoa na mchumba wake Rose Birusya. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es Salaam katika misa iliyoongozwa na Padri Stefano Kaombe. Kabla ya kuvuliwa upadri, Karugendo alikuwa Padri wa Jimbo la Rulenge-Ngara kabla ya Papa Benedict XVI kumvua daraja hilo kwa madai ya kukiuka maadili...
Read More

World Bank Projects Kenya Economy to Grow at 5.5 Percent

World Bank Projects Kenya Economy to Grow at 5.5 Percent

The World Bank projects the Kenyan economy to grow at 5.5 percent in 2017; this is down from 6 percent it had initially estimated. The World Bank cites the ongoing drought and slowdown in private sector credit as the reason for this review.
An Economic Update by the bank further shows that the rise in prices of crude oil prices is also likely to inhibit growth prospects in Kenya.
“Given the headwinds from the ongoing drought, weak credit growth and pick up in oil prices, GDP growth is expected to decelerate to 5.5 percent in 2017,” the World Bank said.
However, the institution said that it expects the growth to pick up in 2018 projecting a 5.8 percent growth in GDP. “GDP growth is expected to accelerate to 5.8 percent and 6.1 percent in 2018 and 2019 respectively,” the World Bank said in its update.

Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia ya Tanzania kuingizwa nchini humo.....Zitto Kabwe Aitaka Serikali Ichukue Hatua

Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini humo. Tamko la Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati ya Kenya linasema ‘ ndani ya siku 7 kuanzia juzi tarehe 24 Aprili 2017, itakuwa ni marufuku Kwa Kenya kuagiza Gesi ya kupikia kutoka Tanzania ‘. Uamuzi huu wa Kenya ni kinyume na misingi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo Tanzania na Kenya ni wanachama....
Read More

SII MARA YA KWANZA KWA MGONJWA KUJIRUSHA GHOROFANI MUHIMBILI

By Herieth Makwetta, Mwananchi hmakweta@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Katika hali isiyokuwa ya kawaida mgonjwa mmoja aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) alijirusha kutoka ghorofani jana asubuhi na kujeruhiwa kichwani.

Tukio kama hilo liliwahi kutokea mwaka 2012, katika wodi hiyo hiyo na dirisha hilo hilo.

Mgonjwa huyo (jina linahifadhiwa) alikuwa amelazwa wodi 6 katika jengo la Mwaisela.

Shuhuda wa tukio hilo Juma Omary alisema mgonjwa huyo alikuwa akiweweseka, kabla ya kuamka kitandani na kuanza kukimbia.

KICHUPA CHA LEO DIAMOND FT PAPA WEMBA OFFICIAL VIDEO

Tanzanian polygamist's puzzle: how to stop six wives warring over 500 acres?

news.trust.org Hace 4 horas 

RAHCO Yabariki Ombi la Askofu Gwajima Kununua Treni ya Umeme

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amekaribishwa kuwa anaweza kuendesha huduma ya usafiri wa treni na kutaka wadau wengine wenye nia kama hiyo wajitokeze. Katika ibada iliyofanyika juzi, Askofu Gwajima aliwaambia waumini wake kuwa amedhamiria kununua treni ya umeme itakayogharimu Sh11 bilioni, baada ya Rais John Magufuli kuzindua mradi wa ujenzi wa reli pana (standard gauge)...
Read More

Kichupa cha leo Coyo - Ziwafikie (Official Music Video)

Nilianza Nawe - Nakoche Msela (Official HD Video) ATL ViDz

Jay Metty -Kutoa Ni Baraka

Watu 24 wafariki ajalini Mtito Andei, Kenya BBC

Ajali
Watu 24 wamefariki na wengine kadha kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa manane katika barabara kuu ya kutoka Nairobi kwenda Mombasa.

Ajali hiyo iliyohusisha basi la kubeba abiria na lori la kusafirisha mafuta ghafi ya kupikia ilitokea katika eneo la Kambu, karibu na Mtito Andei.

Mkuu wa polisi wa eneo la Kibwezi Leonard Kimaiyo ameambia BBC kuwa watu 23 walifariki papo hapo na mwingine mmoja akafariki akitibiwa hospitalini.

Watu 20 walipata majeraha na kupelekwa katika hospitali za miji ya Kibwezi na Makindu.

Bw Kimaiyo amesema walionusurika waliambia maafisa wa polisi dereva wa basi alikuwa akijaribu kupita gari jingine basi lilipogongana na lori hilo.

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi Kenya, watu 3,000 hufariki kila mwaka kutokana an ajali za barabarani.

Serikali yamuondoa Mkurugenzi wa UNDP nchini

Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (United Nations Development Programs – UNDP), Bi. Awa Dabo aliyeondolewa nchini.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeliagiza Shirika la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (United Nations Development Programs – UNDP) kwa upande wa Tanzania kumuondoa nchini Mkurugenzi wa Shirika hilo Bi. Awa Dabo.

Serikali ilifikia uamuzi huo kutokana na  Bi. Dabo kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya Watumishi wenzake na Menejimenti ya Shirika hilo, hivyo kupelekea kuzoretesha utendaji wa shirika hilo nchini na kupunguza kasi ya kuleta maendeleo kwa Watanzania endapo hatua za haraka zisingechukuliwa.

Son of Kenyan Immigrants in Minnesota, USA Achieves Rare Feat; Gets Accepted to All Eight Ivy League Universities

Son of Kenyan Immigrants in Minnesota, USA Achieves Rare Feat; Gets Accepted to All Eight Ivy League Universities

An American born boy with Kenyan roots is making headlines in the United States after getting accepted to all eight Ivy League universities in the US that he had applied for.
17-year-old Derek Onserio, a son of Kenyan immigrants living in Osseo, Minnesota, has been accepted to Harvard, Yale, Columbia, Brown, Princeton, Cornell, Dartmouth, and the University of Pennsylvania  - all Ivy League institutions. Getting accepted into one of them is considered a major achievement as less than 10% of applicants get admitted. Acceptance into all eight is a feat only a few individuals manage to accomplish each year.
Harvard for instance received 39,506 requests in January this year and only 2,056 of those made it to the university, according to results released on March 30. Derek was listed among the 2,056 and shockingly enough he received acceptance from each of the other seven institutions. Most have offered him full  four-year academic scholarships.
This feat has made Derek the most sought-after teen in the state of Minnesota. He and his family have gained celebrity status after his achievement was featured in the Star Tribune, the largest newspaper in Minnesota.
Speaking to the Daily Nation on phone, Derek’s father Joshua Onserio narrated how his son has earned him a status that was only a dream to him before. “We have received more than 200 calls to congratulate us,” Mr Onserio said, noting that Derek had been interviewed by three local radio stations and was about to go to one more after finishing the TV session.
“For his success, we thank God. We don’t  take credit; we thank God that he was accepted to the Ivy League schools,..I see prayer as one of my secrets to success. Before every test I took and every application I submitted, we prayed. And I think that was very valuable,” says Derek’s father, a staunch Seventh-Day Adventist and Deacon at Minnetonka SDA Church.
Mr Onserio and his wife Euniah, who hail from Kisii County in Kenya, have Derek as their only son and the third-born out of four children.
His two elder sisters have also excelled, with both studying at Ivy League institutions as well. One of the sisters, aged 19, was also accepted by five Ivy League schools and ended up going to Harvard. The oldest sister, 20, was accepted by three Ivy Leagues, and eventually joined Dartmouth.
Choosing one from the eight universities remains a headache to Derek, he admitted.“They both, of course, want me to go to their schools because they think their schools are the best,” he told the paper.
His father says that he will not influence his son specialization.“Ivy League schools require you to go there for one year, do your shopping then you choose what you want, because the competition is very stiff,” Mr Onserio told the Nation.
Another reason for Derek’s high ranking among the Ivy League schools is his participation in activities outside the classroom. He was involved in several activities in high school including debate, quiz bowl, math leagues, singing, dancing, and sports.
“As a personal mantra, I have always tried to take any opportunity that comes my way…Whether it’s joining a club with my friend or saying yes to being a mascot for my school, I always try to take advantage of any opportunity,” he told the Sunday Nation.
Joshua's father, a financial consultant who moved to the US in 1990 and his wife a psychologist, has contested in the last two previous Kenya General Elections, as an MP for Bobasi constituency, running as an independent candidate but losing both times.
This year he will not be vying as he has decided to spend more time with his family.