Secondary Education in Kenya 'To Be Free from 2015'
WAY FORWARD: Education CS Jacob Kaimenyi, President Uhuru Kenyatta and Dr Kilemi Mwiria at State House
CHENI YA SH. MIL. 6 YAMFIKISHA POLISI AUNTY EZEKIEL
Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
NYOTA wa sinema Bongo, Aunty Ezekiel ameingia matatani na maafande wa Kituo cha Polisi Pangani, Ilala jijini Dar akidaiwa kutokomea na cheni ya Shabani Limo yenye thamani ya shilingi milioni 6.
Kwa mujibu wa chanzo, mwishoni mwa Februari, mwaka huu, Aunty alikwenda kwa Shabani na kuazima cheni hiyo kwa makubaliano ya kuirejesha baada ya muda jambo ambalo hakulifanya na baadaye, Septemba mwaka huu, akasafiri…

TIKO ABONDWA
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
STAA wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan, hivi karibuni alionja joto ya jiwe baada ya kushushiwa kipigo kizito na hawara wake aliyetajwa kwa jina moja la Ally.
Kwa mujibu wa chanzo makini, siku ya tukio Tiko alikuwa na Ally nyumbani kwake, Mwananyamala ndipo ghafla hali ya hewa ikachafuka baada ya pedeshee mmoja kumpigia simu mwigizaji…

FUMANIZI LA MWALIMU
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
KATIKA hali ya kutisha, fumanizi lililoambatana na bonge moja la mtiti linadaiwa kujiri nyumbani kwa mwalimu ‘ticha’ wa Shule ya Msingi ya Mafisa ‘A’, iliyopo Manispaa ya Morogoro mjini hapa aliyefahamika kwa jina la Rosemary Mkoba kisha watu wakachomana visu.
HABARI KAMILI
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, msala…

Journalists must pay $60,000 each to follow Obama on his Asia trip
© REUTERS/Jason Reed U.S. President Barack Obama speaks to the press as he walks through the press cabin aboard Air Force One
WANANCHI DAR WAZIDI KUIPOKEA SIMU DOCTOR
Mfanyakazi wa Global Publishers, Jimmy Haroub (kushoto) akiwaelekeza wakazi wa eneo la Buguruni, Dar namna ya kujiunga na huduma ya Simu Doctor kupitia mtandao wa simu ya Vodacom.
Wafanyakazi wa Global, Jimmy Haroub na Robert Tillya (waliosimama) wakiwaelekeza wakazi wa maeneo ya Mtongani, Dar namna ya kujiunga na Simu Doctor.…
25 Facts You Probably Didn’t Know About Lil Wayne Read More
Weezy F. Baby, you already know — or maybe you don’t. Lil Wayne has lived an action-packed life, and he’s only 31. But for every fact you know about Weezy, there are five things you don’t know about the New Orleans-bred rapper. Yeah, he shot himself, but with whose gun? Sure, he lost his virginity early, but how? He called himself Shrimp Daddy early on, but why?
We dug through videos, interviews and old magazine scans to dig up some little-known information on Dwayne Michael Carter Jr. If you’re a Wayne fan, this stuff is gold. And if you’re not, well, maybe you will be after you read this. These are 25 Facts You Probably Didn’t Know About Lil Wayne.
Read More: 25 Facts You Probably Didn't Know About Lil Wayne | http://theboombox.com/25-facts-you-probably-didnt-know-about-lil-wayne/?trackback=tsmclip
Cows offered to keep Kenyan girls in school in Laikipia
Continue reading the main story
Related Stories
Cows will be given to fathers in
northern Kenya if they ensure their daughters remain in school, a county
governor has said.
The governor of Laikipia county, Joshua Irungu, told the BBC that nine
animals would be offered to rural families.Under Kenyan laws a parent who fails to take his child to school risks being imprisoned.
But child marriages are common among Kenya's pastoral communities, which often depend on a bride's dowry.
The BBC's Robert Kiptoo in the capital, Nairobi, says that the governor intends to start up a livestock breeding centre in the area in order to sustain the project.
The county plans to fund the project with help from local stakeholders.
Mr Irungu said that the project is not an inducement but a way of empowering poor families so that they can afford to send their daughters to school.
He added that the county would also look at issues for boy students.
http://www.bbc.com/news/world-africa-29834776
How Kenyans are reacting to legalised polygamy
Continue reading the main story
Related Stories
Last month a controversial bill
legalising polygamy became law in Kenya. Yalda Hakim reports for BBC Our World
on how it is being received.
TID, HEBU TUONGEE KISHKAJI KIDOGO!
KHALEED Mohamed maarufu kama TID ni mmoja kati ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambao nimewahi kufanya nao kazi kwa karibu, kiasi cha kugeuka na kuwa washkaji. Nimemfahamu kipindi kirefu kidogo, muda mchache tu tokea alipoibuka na kibao chake kilichomtambulisha, Zeze!
Sina haja ya kurudia kuelezea kuhusu ubora wa kazi zake, kwa sababu kama ni kuimba, anajua.
Na najua wengi wanatambua ukali wa vibao vyake vingi ambavyo amevifanya na kumfanya kuwa mmoja kati ya wasanii wa muda mrefu ambao wameendelea kubakia katika levo za juu, katika kipindi ambacho kuna ushindani mkubwa, hasa kutoka kwa vijana…

WEMA AMMWAGA DIAMOND!
Na Musa mateja
Safari hii ndiyo basi tena! Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa…
Safari hii ndiyo basi tena! Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’.
KUMBE NI MUDA MREFU TUKwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa…
NI SHEEDAH 'WEMA, AUNTY HUSAGANA'
Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema
Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli, yameibuka upya juzikati baada ya warembo hao kuonesha mahaba niue au…
Ni sheedah! Pamoja na kukanusha kwa kutumia nguvu kubwa, nyuma ya ushosti wa mastaa grade one wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel kuna siri nzito ikidaiwa kwamba wawili hao husagana. Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Aunty Ezekiel wakidendeka hadhalani.
TUKIO BICHI Madai hayo ya muda mrefu huku wenyewe wakisisitiza si ya kweli, yameibuka upya juzikati baada ya warembo hao kuonesha mahaba niue au…
2016 Diversity visa Program
2016 Diversity Visa program (Lottery ya Greencard) mwisho ni Novembe 3, 2014
Kwa walio nyumbani - Hii ni lottery ya bure, ukimlipa mtu akuchezee basi umeibiwa.
Jinsi ya kucheza:
- Piga passport size ya 2 inch by 2 inch (utahitaji picha yako na mke/mume pamoja na watoto)
- Tembelea hii website (https://www.dvlottery.state.gov/) halafu ujaze form.
- Hifadhi confirmation yako (utaihitaji ili kuangalia kama umeshinda au la)
- Matokeo yataanza kutoka kati ya May 5, 2015 na September 30, 2016. Ingia hapa kuangalia matokeo http://www.dvlottery.state.gov/ESC/
- Fuata maelekezo kwa usahihi, usipofuata unakuwa disqualified mara moja
Chezeni jamani, watu wa mataifa mengine waanacheza sana na huwa wanashinda sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)