MCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST‏


Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Biashara wa…

No comments:

Post a Comment