JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE


STAA wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuweka wazi mwanaume ambaye anahitaji amuoe na sababu inayomfanya asijichanganye na mastaa wenzake.
Staa wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’.
Katika makala haya Johari amefunguka mengi, msome;
Mwandishi: Kwa nini mara nyingi hupendi kujichanganya na mastaa wenzako?
Johari: Ujue nina kampuni ambayo wakati wote nahitajika kuwepo hapo, na kama kujumuika, najumuika na wenzangu pale…

No comments:

Post a Comment