Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-


1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini.

2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo, wanaume ni waoga kuliko wanawake.

3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi, wanatunza pesa vizuri na wanahasira sana ila wanamsimamo katika biashara.

4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote.

5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa, wanawake wakifikisha umri wa 40 yrs hua wehu na wanaume ni vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni wachapakazi hodari. Ukioa huko jiandae kulea kichaa.

6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Mwanamke wa Kirua hawezi kua na mwanaume mmoja na wanaume wao hawaoi kwao, wako wachache lakini watatu tu mjini mtadhani wako mia.

7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba japo hawajengi manyumbani kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi maana niwabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi saa sita ya usiku kwa miguu. Ktk familia ya watoto watatu ujuwe wawili ni wa baba wa jirani muuza nyama au bar.

Sent from my BlackBerry 10 smartphone.

No comments:

Post a Comment