BATULI: NAYACHUKIA MAPENZI YALIYOPITA


Stori: Imelda Mtema
STAA mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita.
Staa mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Batuli alisema kuwa anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka.
“Nayachukia sana mapenzi yaliyopita kwa kweli na kuna wakati sipendi kabisa kuifanya…

No comments:

Post a Comment