MIMBA YA ZARI YAMPA MAMILIONI DIAMOND


Musa Mateja

Imebainika kuwa mimba ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ inamwingizia jamaa huyo mamilioni ya fedha, Ijumaa limebaini mchezo mzima.

KUMBE!
Mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Imeelezwa kwamba, katika kila shoo anayokwenda na mama kijacho huyo amekuwa akilamba dau kubwa kwani wengi wanahudhuria burudani inayotolewa na Diamond ili kumuona Zari akiwa na kibendi.Uchunguzi wetu ulibaini kwamba, ujauzito wa Zari kwa sasa…

No comments:

Post a Comment