Serikali
imeahidi kumchukulia Shilole kufuatia kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa
wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji.
Akizungumza
bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma
Mkamia, wakati akijibu hoja za wabunge baada ya kusoma makadirio na matumizi wa
wizara hiyo, alisema tayari serikali imeliagiza baraza la sanaa taifa BASATA
kufanya naye mahojiano.
Naibu
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma
Mkamia
“Tumemtaka
ajieleze kupitia BASATA, akishajieleza serikali itachukua hatua na niombe
mheshimiwa spika kupitia bunge lako tufuku, kuliomba radhi kwa upande wa
serikali kwa kitendo kilichofanywa na mwanamuziki yule. Sio maadili yetu na
nimesema akishajieleza serikali itachukua hatua yake,” alisema Juma Mkam
No comments:
Post a Comment