Imelda Mtema /Uwazi
STAA mkongwe katika tasnia ya filamu, Blandina Chagula Johari amefunguka kuwa kamwe hatarajii kuolewa na staa kama Vicent Kigosi Ray bali anahitaji mume wa kawaida asiye maarufu. Akizungumza na Uwazi, Johari alisema kuwa kwa upande wake hachagui mwanaume gani wa kumuoa bali tu ajue kumthamini na kumuheshimu kama mwanamke.
Kwanza sihitaji mwanaume wa kunioa awe staa hata…

No comments:
Post a Comment