WAIMBA INJILI WAMTENGA ROSE MHANDO


STORI: Mwandishi Wetu/Amani
MAZITO tena! Kufuatia madai ya kuchoropoa mimba ya miezi saba kulikodaiwa kufanywa na mwimba Injili nyota Bongo, Rose Mhando, baadhi ya waimbaji wenzake wamesema hawawezi kuwa naye karibu tena katika huduma.
Mwimba Injili nyota Bongo, Rose Muhando.
Wakizunguza na Amani kwa nyakati tofauti, waimba Injili hao walioomba majina yao kupigwa ‘kufuli’ walisema, kama kweli Rose aliitoa mimba ile kwa makusudi basi wao hawana sababu ya kumfanya ni mtoa huduma…

No comments:

Post a Comment