DEOGRATIUS MONGELA NA CHANDE ABDALLAH
ULEVI asubuhi! Pombe maarufu kwa jina la Mbege hivi karibuni ilizua timbwili la aina yake baada ya mama anayeuza kilevi hicho maarufu mama Manka kulazimika kuwajia juu wateja wake wawili ambao ni makondakta wa mabasi yaendayo mikoani katika stendi kuu ya Ubungo jijini Dar es Salaam.
Shuhuda wa tukio hilo lililojaza watu alisema lilitokea asubuhi ya Machi 20, mwaka huu chini ya daraja jipya lililojengwa na Kampuni ya Strabag lililopo katika mradi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi ambapo makonda hao walikuwa miongoni mwa wateja waliokuwa wakinywa kinywaji hicho kinachouzwa kiasi cha shilingi elfu moja kwa kikombe.
Ghafla, zogo liliibuka baada ya mama Manka kubaini kuwa vijana wawili wanaofanya kazi kwenye mabasi yaendayo Kanda ya…

No comments:
Post a Comment