Wema Sepetu Na Idriss Wa Big Brother Wazua Gumzo


Staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Mshindi wa Big Brother Africa 2015, Idris Suleiman wamezua gumzo hivyo mwanadada huyo kufunguka na kuweka mambo hadharani.
Wikiendi iliyopita, picha zao wakifanya shopping kwenye supermarket moja iliyopo Makumbusho jijini Dar zilizua mtafaruku kwa mashabiki wao ndipo staa huyo wa kike akafunguka.
“Shopping pamoja na Idris. Najisikia vizuri kuwa na huyu mtu,” aliandika Wema akifafanua picha hizo huku ‘kapo’ yao ikipongezwa na wengi.
Mpekuzi blog

No comments:

Post a Comment