KWA wiki moja sasa, baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti kwamba, kujisikia kizunguzungu hatimaye kuanguka na kupoteza fahamu kulikomtokea Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wakati akihojiwa na polisi kulitokana na kuulizwa maswali yaliyohusu namna alivyozipata mali zake, Risasi Jumamosi linakupa zaidi.
Machi 28, mwaka huu Mchungaji Gwajima alipojisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maaalum ya Dar es Salaam kwa madai ya kumtolea maneno yenye kuudhi Askofu wa Kanisa la Romani Katoliki…
Machi 28, mwaka huu Mchungaji Gwajima alipojisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maaalum ya Dar es Salaam kwa madai ya kumtolea maneno yenye kuudhi Askofu wa Kanisa la Romani Katoliki…
No comments:
Post a Comment