WAMAFUNZI WA TAKOMA PARK MIDDLE SCHOOL NCHINI MAREKANI WAITANGAZA TANZANIA


Wanafunzi wa Takoma Park Middle School iliyopo jimbo la Maryland juzi kati wanafuzi walifundishwa utamaduni wa Kitanzania ikiwemo mavazi na ngoma ya asili ya Kimasai, pamoja na kuilezea jukwaani kuhusu Tanzania na kabila la Kimasai baadae walicheza kanda ya nyimbo ya Kimasai na wanafunzi kucheza kwa kuruka ruka juu kama Wamasai
Wanafunzi wa Takoma Park Middle school jimbo la Maryland wakionyesha vinyago na nguo za vitenge kutoka Tanzania
Wanafunzi wakiwa kwenye maonesho ya utamaduni wa Tanzania
Kwa picha zaidi bofya 

No comments:

Post a Comment