MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wanawake kumvamia kazini kwake na kuanza kumsimanga kwa kitendo chake cha kuchepuka na mume wa mtu huku akipigiwa ngoma maarufu kama kibao kata.
Tukio hilo lilitokea Mei 23 mwaka huu maeneo ya Kimara Mwisho, ambapo awali mke wa mume aliyechepuka, aliyejitambulisha kwa jina moja la Upendo, alidai mara kwa mara amekuwa akipokea…
No comments:
Post a Comment