SIKU MOJA KABLA YA NDOA BI HARUSI AGOMA KUOLEWA!


Chande Abdallah na Deogratius Mongela

KIMENUKA! Ikiwa ni siku moja tu kabla ya kufungwa kwa ndoa kati ya Zuhura Omari na Abdallah Salehe, katika hali isiyotarajiwa, mke mtarajiwa amekataa kushiriki tendo hilo la kheri licha ya taratibu zote kukamilika na kusababisha tafrani kubwa huko Buguruni Kwa Mnyamani jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita.
Ndugu wakiwa hawana la kufanya baada ya binti huyo kugoma kuolewa.
Tukio hilo lilitokea Mei 23, mwaka huu wakati ndugu wa mume walipokusanyika nyumbani kwa Abdallah tayari kwa shughuli, lakini…

No comments:

Post a Comment