VINARA WA ‘KUUZA MECHI’ MAMA TOFAUTI!


Watu wengi ambao wamejikuta wakipata watoto wengi kwa wanawake tofauti, wanatafsiriwa tofauti kwenye jamii. Wengine wanaonekana siyo makini katika suala la kujilinda kwa maana ya matumizi ya kinga kwa lugha ya watoto wa mjini hutumia msemo wa ‘kuuza mechi’ bila kujali umuhimu wa afya zao.
Staa wa Bongo fleva, Ali Kiba.
Kama hujaelewa, Kuuza mechi ni kushiriki tendo la ndoa bila kinga. Wakati mwingine hutokea kwa bahati mbaya lakini kama itatokea zaidi ya mara moja, lazima watu watakuwa na mtazamo tofauti na wewe, inaonesha ni jinsi gani ni kinara kwenye suala hilo la kuuza…

No comments:

Post a Comment