Na Haruni Sanchawa
MAMA mmoja Aisha Ramadhani (26), mkazi wa Gongo la Mboto , Ilala jijini Dar es Salaam amedai kuwa amekimbiwa na mume aliyemtaja kwa jina Athuman Hussein baada ya kupooza kwa miaka miwili.
Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita huku akibubujikwa na machozi , mama huyo wa mtoto mmoja alisema anateseka kwa miaka miwili sasa na amehangaika katika hospitali nyingi kwa msaada wa watu bila mafanikio, hatimaye wamekata tamaa.
Akisimulia huku akitokwa…

No comments:
Post a Comment