KIJANA ANAYESADIKIKA KUWA MWIZI APOKEA KICHAPO CHA NGUVU

Hapa akipelekwa eneo ambalo ameiba baada ya kukamatwa wakati anakimbia eneola mtaa wa Uhuru, Mwenge jijini Dar. Kibaka akiwa amekula kichapo cha maana baada ya kukamatwa na Laptop za wizi. Mama Aliyevaa Kilemba aliyemshika mtu anayesemekana ni mwizi akitoa ufafanuzi kwa majirani wa eneo hilo leo kuhusu wizi ulivyotokea katika mtaa wa uhuru eneo la Mwenge jijini Dar

Laptop ambazo alikuwa amekamatwa nazo Kibaka akielezea kabla ya wananchi wenye hasira kali hawajaanza kumpa kichapo Hapa ndipo alipo banjua kabla ya kuiba Hizi ndizo Nyenzo zake alizokuwa akitumia wakati wa uharifu wake..Picha na Dar es salaam yetu Blog

No comments:

Post a Comment