Brighton Masalu
Pombe zitamtoa roho! Unywaji wa pombe kupita kiasi anaoufanya staa wa sinema za Kibongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ umetafsiriwa kama kujihatarisha kiafya baada ya hivi karibuni kunaswa mchana wa jua la utosini akifakamia ulabu huku akionekana kuzidiwa, jambo lililozua minong’ono kwa baadhi ya watu, Risasi Mchanganyiko lilimnyatia.
Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu lilijiri juzikati maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar ndani ya baa moja (jina…

No comments:
Post a Comment