WEMA, JOKATE WAMZOMEA DIAMOND!


Musa Mateja

KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuzidiwa tuzo na hasimu wake, Ali Kiba, Risasi Mchanganyiko lina full stori.
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheka baada Ali Kiba kuchukua tuzo ya nne kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
ENEO LA TUKIO

Tukio hilo lililojidhihirisha laivu ni la chuki lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa…

No comments:

Post a Comment