Diamond: Hakuna msanii ambaye nimewahi kumlipa wala yeye kunilipa kufanya collabo

Diamond Platnumz amesema kuwa ameshafanya collabo na wasanii A-list karibu wote wanaofanya vizuri Afrika, lakini hakuna hata mmoja ambaye amewahi kumlipa wala wao kumlipa kwaajili ya collabo hizo. “Nimefanya collabo na wasanii tofauti tofauti, karibuni A-list wote ya wanaofanya vizuri Afrika nimeshafanya nao.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.   Ameongeza kuwa mwanzoni haikuwa rahisi...
Read More

No comments:

Post a Comment