MAYWEATHER APOKONYWA TAJI ALILOMSHINDA PACQUIAO

Mkanda alioshinda Maywether baada ya kumchapa Mfilipino Manny Pacquiao.
....Wakizichapa na Pacquiao.
Bondia Bingwa wa dunia wa uzani wa Welter, Floyd Mayweather amepokonywa mkanda alioutwaa baada ya kumchapa Mfilipino Manny Pacquiao mwezi Mei mwaka huu.
Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 38 anadaiwa kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki…

No comments:

Post a Comment