Mgomo mwingine wa madereva nchini Tanzania unanukia kufuatia Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yayolifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro huo. Kwa mujibu wa naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe amesema kwamba kutokana na Wizara kushindwa kutekeleza makubaliano hayo wanatarajia...
No comments:
Post a Comment