Dalili hizo ni kukosa hamu ya kula, kujihisi uchovu na kwa ujumla kutojihisi vizuri hasa kuumwa kichwa, kichefuchefu, kutapika na kuvimba miguu.
Kwa watu wenye kisukari, wanashauriwa kufanya uchunguzi wa figo zao mara moja kwa mwaka ambapo watachunguzwa kama wana dalili zozote zinazoashiria matatizo ya figo. Utapimwa mkojo kwa ajili ya kuchunguza kiwango cha protini iitwayo Albumin au Microalbuminuria. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1W1bpMX
No comments:
Post a Comment