Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, Louis Venter(kushoto) akikata utepe wakati wa ufunguzi wa tawi la KFC eneo la Kariakoo jijini Dar ambapo waliweza kusherekea na watoto wenye mahitaji maalumu wa shule ya msingi ya Uhuru Mchanganyiko.
Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, Louis Venter akiwakaribisha wageni waalikwa pamoja na kuzungumza jambo wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa KFC eneo la Kariakoo jijini Dar.
No comments:
Post a Comment