Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Apiga Marufuku Kuuza na Kunywa Pombe Saa za Kazi

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa amepiga marufuku uuzaji na unywaji wa pombe wakati wa saa za kazi. Amri hiyo ameitoa jana katika taarifa yake aliyoisambaza kwa vyombo vya habari. Gallawa alisema kwamba amechukua uamuzi huo kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Katiba, Ibara ya 61, Ibara ndogo ya 4.    Alisema kutokana na amri hiyo itakuwa marufuku kwa wakazi na wafanyabiashara...
Read More

No comments:

Post a Comment