Rais Kenyatta Awapiga Chini Mawaziri Wote Wenye Kashfa Za Ufisadi

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri na kuwapiga chini mawaziri wote ambao wizara zao zinakumbwa na kashfa za ufisadi. Uamuzi wa Rais Kenyatta umekuja siku moja baada ya kutangaza ufisadi kama tishio la usalama wa kitaifa huku akiazimia kufanya mabadiliko makubwa kwenye ofisi ya Rais hivi karibuni. Katika mabadiliko hayo, Kenyatta ameongeza pia idadi...
Read More

No comments:

Post a Comment