Huduma Ya Treni Ya Abiria Kutoka Dar Kwenda Bara Kuanza Tena Jumapili Mei Mosi, 2016

Treni ya kwanza ya abiria ya Deluxe  kutoka Dar es Salaam kwenda bara itaondoka saa 2 asubuhi siku Jumapili Mei Mosi, 2016 kuelekea Kigoma. Kuanza kwa safari hiyo kunatokana na kutengemaa kwa eneo korofi baina ya  stesheni za  Kilosa mkoani  Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma.  Kwa mujibu wa taarifa ya Wakuu wa Idara za uendeshaji wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyotolewa ...
Read More

No comments:

Post a Comment