Rais JPM atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji TIC

Julieth Kairuki
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki.
==>Rais John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi.Juliet Kairuki kwa kosa la kutokuchukua mshahara wa serikali tangu alipoajiriwa mwezi Aprili, 2013 hadi leo.
==>Iwapo atakuwa tayari kufanya kazi na serikali, Bi. Kairuki atapangiwa kazi nyingine.
==> Mchakato wa kumpata mkurugenzi mpya kuanza mara moja
Taarifa kamili hii hapa;
TIC
==>Ifuatayo ni barua ya uteuzi wa Bi. Juliet Kairuki kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) iliyotolewa na Ikulu Jumatatu ya Aprili 22, 2013.
JK na Julieth

No comments:

Post a Comment