WATU watatu wamekufa papo hapo na wengine wanane kujeruhiwa baada ya basi lenye namba za usajili T 402 CRY aina ya Scania mali ya Kampuni ya Kisbo – Safari kupinduka mkoani Morogoro. Basi hilo lilikuwa likitoka mkoani Tabora kwenda Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa basi hilo lilipinduka wakati likijaribu kukwepa gari lingine eneo la Kwambe, wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro kwenye barabara kuu...
No comments:
Post a Comment