Mbunge wa Bunda Mjini Mh. Ester Bulaya amefunguka na kutaka siasa isiingizwe kwenye vita ya madawa ya kulevya na kusema viongozi wasimdanganye Rais Magufuli ili kujihakikishia vyeo vyao au nafasi zao katika uongozi. Ester Bulaya ametoa rai hiyo leo bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa taarifa za kamati na kusema Rais anapaswa kuambiwa ukweli ili waweze kumsaidia kupambambana vyema na madawa...
No comments:
Post a Comment