TID Awaomba Radhi Watanzania Kwa Utumiaji Wa Dawa Za Kulevya

Msanii TID amefunguka na kuwaomba radhi Watanzania kutokana na tabia yake ya kutumia dawa za kulevya kwani anaamini kuwa akiendelea kutumia dawa hizo hatakuwa mfano bora hata kwa mtoto wake. TID anasema anaamini kutokana na matumizi ya dawa hizo huenda akawa amewakwaza watu au kufanya mambo ambayo si mema katika jamii hivyo anaomba kusamehewa kwani alikuwa akifanya kwa nguvu ya dawa za kulevya...
Read More

No comments:

Post a Comment