Vituo vya UKIMWI vinavyochochea ushoga vyafutwa

Serikali imevifuta vituo vyote vya taasisi zisizo za kiserikali vinavyotoa huduma za afya ya VVU na Ukimwi, kwa makundi maalum kutokana na kubainika kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja. Baada ya kuvifuta, serikali imeelekeza huduma hizo sasa kutolewa tu kwenye vituo vya umma pamoja na vituo vya afya vya binafsi vilivyosajiliwa. Tamko hilo limetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa...
Read More

No comments:

Post a Comment