Wakati Serikali ikiendelea kujipanga kwa vita dhidi ya dawa za kulevya, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kutotangaza majina ya watuhumiwa kabla ya kufanyika uchunguzi na kujiridhisha. Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kulaumiwa na watu tofauti kwa kitendo chake cha kutangaza majina ya watu aliotaka kufanya...
No comments:
Post a Comment