Manji: Nimesikia wakisema natakiwa kufika kituo cha Polisi siku ya Ijumaa. Manji: Mimi nina nafasi mbili kwenye jamii, Mimi ni mtoto wa baba yangu na nafasi yangu ya pili mimi ni mwenyekiti wa Yanga na nyote mnajua ninavyoheshimiwa. Manji: Na chaguzi zilizopita mimi nilichukuahukua fomu peke yangu ya kugombea Yanga hivyo naheshimika. Manji: Huwezi kunitangaza kupitia radio kwamba niende...
No comments:
Post a Comment