Afikishwa Mahakamani Kwa Kusambaza Picha za Uchi


Mkazi wa Tazara Magorofani, Shaban Biro (47), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala , kujibu shtaka la kusambaza na kuonyesha picha za utupu katika mitandao ya kijamii. Biro (47), alifikishwa mahakamani hapo leo na kusomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Flora Mjaya. Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Glory Mwenda, alidai kuwa mshitakiwa alitenda kosa Machi, 2016 mtaa...
Read More

No comments:

Post a Comment