MAHAKAMA ya
Hakimu Mkazi Kisutu imeyakubali maombi ya Serikali ya Marekani ya kuwataka raia watatu wa Tanzania akiwemo Mfanyabiashara Bilionea, Ally Khatib Hajj ‘Shkuba’ ili waende kujibu tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya nchini humo.
Mbali ya Shkuba, watuhumiwa wengine waliotakiwa na serikali hiyo ya Marekani ni mfanyabiashara Idd Mafuru na Lwitiko Adam.
No comments:
Post a Comment