Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri na Nchi Kavu na Majini, Sumatra, pamoja na wadau wa sekta ya usafirishaji wamekubaliana kusitisha mgomo wa usafirishaji wa abiria na mizigo uliopangwa kuanza kesho. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe amesema kusitishwa huko kunatokana na kikao na Waziri wa Mawasiliano Uchukuzi na Ujenzi, Prof. Makame Mbarawa, kuhusu kuandika...
No comments:
Post a Comment