Mke wa Marehemu bilionea Erasto Msuya Agonga Mwamba Mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (41) na mfanyabiashara Revocatus Muyela (40) ipo kihalali mahakamani hapo.   Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba alitoa uamuzi huo jana dhidi ya hoja zilizowasilishwa na upande wa utetezi unaodai kesi hiyo namba 5 ya 2017 imefunguliwa kinyume na sheria ukitaka ifutiliwe mbali.  ...
Read More

No comments:

Post a Comment