Sakata la Vyeti Feki: Watusmishi 6 Wafungwa Jela, Zahati 2 Zafungwa kwa Kukosa Watumishi maana Wote Walifoji Vyeti

Uamuzi  wa Serikali wa kuwafukuza kazi watumishi wanaodaiwa kughushi vyeti, umezidi kuchukua sura mpya, baada ya watumishi sita wa Halmashauri ya Kilwa mkoani Lindi kufungwa jela mwaka mmoja kila mmoja kwa kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne na kujipatia ajira. Taarifa nyingine zinasema Katibu Tawala wa Wilaya ya Tandahimba (DAS), Mohamed Azizi naye ameguswa na sakata la vyeti feki...
Read More

No comments:

Post a Comment