Shilole Ataja Sababu Inayomfanya Abadili WANAUME Kama Nguo

Msanii wa bongo fleva, Zuwena Mohamed alimaarufu kama Shilole amefunguka zile tetesi za yeye kubadilisha wanaume kama nguo na kusema siyo kweli kwamba yeye anapenda kufanya hivyo ila wanaosababisha yote hayo ni wanaume wenyewe kutotulia. Shilole amebainisha hayo kupitia kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa mubashara kupitia ukurasa wa Facebook ya EATV. Shilole baada ya kuulizwa swali na shabiki...
Read More

No comments:

Post a Comment