Nyota wa Mpira, Emmanuel Eboue Atamani Kujiua Baada ya Kufilisika

Staa wa soka wa kimataifa wa Ivory Coast aliyewahi kuvichezea vilabu mbalimbali Ulaya kama Arsenal na Galatasaray ya Uturuki Emmanuel Eboue amedai  kufilisika  baada ya talaka, iliyompa mali zote mkewe Auerilie Bertrand Eboue kwa sasa ana umri wa miaka 34 na anaitumikia adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja na FIFA kwa kushindwa kumlipa wakala wake. Eboue licha ya kutokea katika maisha...
Read More

No comments:

Post a Comment