Mwandishi Mariam Mziwanda wa Gazeti la Uhuru anusurika kifo katika Ajali ya malori na gari ndogo

Mwandishi wa habari wa Gazeti la Uhuru,  Mariam Mziwanda, amejeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu, eneo la Tabata TOT jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo baada ya gari dogo alilokuwa akiliendesha lenye namba za usajili T222 DJX kugongana na lori la mizigo lenye namba za usajili T 495 na kisha kuingia katikati na kubanwa na lori la mafuta lenye namba za usajili T 748 BM...
Read More

No comments:

Post a Comment