Zari: Nilimpenda Sana Diamond Ila Alizidisha Dharau Nikaamua Kumtema

Aliyekuwa Baby Mama wa Diamond Platnumz, Zari The Boss Lady amesema alimpenda sana muimbaji huyo na kila mtu alifahamu hilo ila dharau zilizidi, ndipo akaamua kuvunja mahusiano yao. Zari katika mahojiano na Kiss FM nchini Kenya amesema kwa kawaida mwanaume anaweza kuchepuka ila kwa Diamond dharau zilizidi na alihisi kama utu wake umeshushwa. Ameendelea kwa kusema kuwa Diamond alikuwa akimkosea...
Read More

No comments:

Post a Comment