Ajali ya Basi Yaua Wanajeshi 10 wa JKT

Basi lenye namba za usajili T 755 BAB lililokuwa likisafiri kutoka mkoani Tabora kuelekea mkoani Mbeya, limepata ajali leo Alhamisi, Juni 14, 2018 katika eneo la Igodima jijini Mbeya na kusababisha vifo vya askari 10 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliokuwa wakitoka mafunzoni na kujeruhi wengine kadhaa. Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinadai kuwa, basi lililokuwa limewabeba wanajeshi...
Read More

No comments:

Post a Comment