Mama Mzazi wa Hamisa Mobetto Alia Mwanaye Kudhalilishwa Kisa Diamond

Mama Mazazi wa Hamisa Mobetto amevunja ukimya kwa kile kinachoendelea kwa sasa. Mama Hamisa amesema asingependa kuona mwanae anatukanwa mtandaoni kwani ni kitu kinachomuumiza sana. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; "Mmenitukania Mwanangu hadi Tumbo la Uzazi limeniuma 😔😔 , natamani ningewazaa wawili ili ajifariji kwa mwenzie. "Pia ningeomba familia zote zilizopo Instagram,...
Read More

No comments:

Post a Comment