Marekani na Tanzania waadhimisha miaka 15 ya ushirikiano katika kupambana na VVU/UKIMWI

Chargé d’Affaires of the Embassy of the United States of America Inmi K. Patterson shakes hand with the Prime Minister Honorable Kassim Majaliwa after they formally launched a campaign recognizing the 15-year anniversary of the United States and Tanzania’s partnership on the U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) during a ceremony at Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Courtesy of the US Embassy).
Chargé d’Affaires of the Embassy of the United States of America Inmi K. Patterson fields questions from the media after the launch of a campaign recognizing the 15-year anniversary of the United States and Tanzania’s partnership on the U.S. President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) during a ceremony at Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam yesterday. On her right is the Minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Ms. Ummy Mwalimu. (Photo: Courtesy of the US Embassy)


Summary of Chargé d’Affaires Patterson’s Remarks
Launch Event for the #PEPFAR15 Campaign, Dar es Salaam
30 Mei 2018


Before PEPFAR began, an HIV diagnosis was a death sentence in Tanzania and across southern and eastern Africa.  In the 1990s and early 2000s, few people got tested for HIV; and only about 1,500 people in Tanzania were able to access treatment.  
Kabla ya kuanzishwa kwa PEPFAR, Mpango Wa dharura wa rais wa Marekani dhidi ya UKIMWI, ukipimwa na kubainika kuwa na virusi vya ukimwi ilikuwa ni kama adhabu ya kifo kwa Tanzania na nchi zingine kusini na mashariki ya Afrika. Katika miaka ya elfu moja mia tisa na tisini na mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili, watu wachache sana walikuwa wanapimwa virusi vya Ukimwi na ni watu takriban elfu moja na mia tano pekee walioweza kupata matibabu ya kufubaza Virusi Vya Ukimwi (VVU).

No comments:

Post a Comment