Wafuasi 7 CHADEMA Wanusurika Kufutiwa Dhamana Mahakamani

Washtakiwa saba, kati ya 31 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chadema, wamenusurika kukamatwa na kufutiwa dhamana baada kushindwa kufika mahakamani kusikiliza shauri lao. Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka moja la kufanya mikusanyiko isiyo halali na kinyume cha sheria, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hatua hiyo imefikiwa leo Juni 12, baada ya Wakili wa Serikali Ester Martin, kuieleza...
Read More

No comments:

Post a Comment