Serikali Yataja Sababu za Kumzuia Diamond Kwenye Nje ya Nchi Kufanya Shoo

Baraza la Sanaa nchini (Basata) limefafanua umuhimu wa kibali ambacho msanii Diamond alipaswa kuwa nacho kabla ya kwenda kufanya shoo nje ya nchi. Haya yameelezwa jana Julai 27 baada ya  Diamond kuzuiwa kwa saa tisa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kutokana na kutokuwa  na kibali hicho alipokuwa akielekea visiwa vya Madagascar na Mayote. Kaimu Katibu Mkuu wa Basata, ambaye...
Read More

No comments:

Post a Comment